Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda
(mbele) akikagua mto Ng'ombe uliopo eneo la Mwananyamala Kisiwani, wakati wa
ziara hiyo Nyuma yake ni Naibu Meya. Songoro Mnyonge.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Kimamba, Kata
ya Makurumla, Mohamed shukuru akisisitiza jambo kwa Meya wa Manispaa ya
Kinondoni, Yusuph Mwenda kuhusu mikakati wanayoifanya kuepuka mafuriko wakati
wa ziara ya Meya huyo aliyoifanya katika Mtaa huo jana. Kushoto ni Naibu Meya,
Songoro Mnyonge na Diwani wa Kata hiyo, Rajab Hassan.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda (wa
pili kushoto) akimsikiliza Naibu Meya, Songoro Mnyonge wakati akimpa maelezo
kuhusu mazingira ya Mto Kiboko uliopo katika Kata ya Tandale wakati wa ziara
yake katika Manispaa hiyo, Dar es Salaam jana.
Mkazi wa Mtaa wa Bahi, Jomo Macha akimueleza
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda athari za mafuriko katika Mtaa
huo, Kata ya Makumbusho wakati wa ziara ya Meya huyo jana. Wengine ni Watendaji
wa Manispaa hiyo na wakazi wa eneo hilo.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph
Mwenda akitoa maelekezo kwa watendaji wa Manispaa hiyo kuhusu kutafuta ufumbuzi
wa chemba ya majitaka iliyofurika katika Mtaa wa Balozi Msolomi wakati wa ziara
yake. Kulia kwake ni Naibu Meya, Songoro Mnyonge na watendaji wa Manispaa hiyo.
0 comments:
Post a Comment