Nafasi Ya Matangazo

February 16, 2015

34Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akizungumza na waandishi wa habari katika ofisi zake zilizopo kinondoni Moroco wakati akielezea maadalizi ya tamasha hilo kwa mwaka huu, ambapo amesema tamasha hilo mwaka huu pamoja na kuwepo waimbajiwa muziki wa injili mbalimbali kutoka hapa nchini na nje ya nchi pia itakuwepo michezo mbalimbali ikiwa pia ni maadhimisho ya miaka 15 toka kuanzishwa kwa tamasha hilo.
 35 
Alex Msama akisisitiza jambo katika mkutano huo 36Alex Msama akiwafafanulia zaidi waandishi wa habari katika mkutano huo 37 
Baadhi ya waandishi wa habari wakichukua taarifa ya Bw. Alex Msama.
Posted by MROKI On Monday, February 16, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo