Nafasi Ya Matangazo

February 10, 2015

Waombolezaji wakiwa katika eneo la mazishi jioni hii huko Ukonga Kipunguni A jijini Dar es Salaam kabla ya kwenda kuwazizika ndugu sita wa familia moja waliofariki katika ajali ya moto juzi. Waliodariki katika ajali hiyo ni Kapteni mstaafu wa JWTZ, David Mpira na Mkewe Selina Yegela Lucas Mpira na Samwel Yegela ambao ni watoto wao.

Pia wapo wajukuu wawili wa Mzee Mpila waliotambulika kwa majina ya Selina Emmanuel (9) na Pauline Emmanuel (3).
 
Mazishi hayo yanafanyika katika makaburi ya Air-wing Ukonga Dar es Salaam. 
Posted by MROKI On Tuesday, February 10, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo