Nafasi Ya Matangazo

February 11, 2015

AMAKWELI utamu wa bidhaa za Azam, unatokana na sukari ya Mtibwa, na hili limejidhihirisha hii leo katika mchezo wa mpira wa Miguu uliozikutanisha timu hizo za Watengeneza keki na lambalamba Azam FC yemnye maskani yake Chamazi na Wakatamiwa wa Mtibwa kule Turiani katika eneo la Manungu, Mtibwa Suger baada ya Azam kuiralua kwa kichapo kilali cha mabao 5-2 ya Mtwibwa.
Posted by MROKI On Wednesday, February 11, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo