Nafasi Ya Matangazo

January 22, 2015

Mwendesha pikipiki akiwa amewapakia abiria watatu kwa staili ya mshikaki huku yeye mwenye pamoja na abiria wake wakiwa hawajavaa kofia ngumu jambo ambalo ni hatari kwa usalama wao pindi chombo hicho kikipata ajali barabarani kama walivyokuwa katika barabara ya Mandela eneo la Tabata Matumbi juzi. Polisi imekuwa ikikemea aina hii ya upandaji pikipiki.
 Wanawake hupenda kukaa mkao huu katika pikipiki jambo ambalo ni hatari sana pindi ajali zikitokea ama kuona kitu cha kushtukiza ni rahisi kwao kuanguka ama kuruka.
Posted by MROKI On Thursday, January 22, 2015 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo