Gari likipita katika barabara ya St Mary’s, Tabata baada barabara hiyo hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 kubomolewa baada ya ujenzi wake wa awali wa kiwango cha lami kulipuliwa na kuharibika ndani ya miezi
michache chini ya mjenzi kampuni ya Del Monte (T), kwa Sh milioni 974 za
Mfuko wa Barabara. Tangu ibomolewe barabara hiyo hadi sasa inapitika kwa shida na ujenzi umesimama. Picha za chini ni barabara hiyo kabla ya kubomolewa.
PICHA YA MAKTABA ikionesha Tuta la lami likiwa limeibuka katikati ya barabara ya St Mary’s, Tabata wakati
barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 1.6 ikiwa imejengwa miezi
michache iliyopita na kampuni ya Del Monte (T), kwa Sh milioni 974 za
Mfuko wa Barabara. Zipo taarifa kuwa Meya wa Manipaa ya Ilala, Jerry
Slaa alishaagiza uchunguzi ufanyike lakini barabara hiyo ianzidi
kuharibika.
0 comments:
Post a Comment