Nafasi Ya Matangazo

November 07, 2014

Siku chache baada ya mtandao huu kupitia kolam maalum ya POROJO ZA ANKO KIDEVU iliyobeba kichwa cha habari MEYA WA ILALA FANYA UKAGUZI WA UJENZI WA BARABARA HII YA UKONGA MAZIZINI - MOSHI BAR huenda ikawa imeamasha utendakaji kazi wa viongozi hao na sasa barabara hiyo kupitia mkandarasi Skol ameanza kuifumua kwa kumalizia kipande kidogo cha lami.


Ingawaje bado wananchi wanalia na barabara hiyo ujenzi ulioelezwa kugharimu Milioni 90 kwa kiwango cha changarawe ambacho bado ni kero kubwa licha ya vifusi vichache vilivyokuwa vimewekwa awali. 
Posted by MROKI On Friday, November 07, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo