Mkurugenzi
wa Kitengo cha Rasilimali watu Airtel Tanzania Patric Foya akiongea
wakati wa zinduzi wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za
makao makuu ya Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu
juu ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma
nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu,
hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo
Baadhi
ya wafanyakazi wa kitengo cha rasilimali watu cha Airtel Tanzania
wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali
watu iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel
jijini Dar es saalam.
Meneja
Uajiri na vipaji wa Airtel Bi Gabriella Kaisi akiongea wakati wa
uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu iliyozinduliwa rasmi jana katika
ofisi za makao makuu ya Airtel jijini Dar es saalam, Pichani ni manej
katika kitengo cha rasilimali watu Airtel
wafanyakazi
wa Airtel wakifatilia uzinduzi wa uzinduzi wa wiki ya Rasilimali watu
iliyozinduliwa rasmi jana katika ofisi za makao makuu ya Airtel jijini
Dar es saalam
Meneja
Rasilimali watu Airtel Bi Sophia Melamari akiongea wakati wa uzinduzi
wa wiki ya Rasimali watu uliofanyika katika Ofisi za makao makuu ya
Airtel ambapo wafanyakazi watapata fulsa ya kupata elimu juu
ya sera kuhusu mafao mbalimbali na haki yao za kimsingi na huduma
nyinginezo zinazotolewa na kusimamiwa na kitengo cha Rasilimali watu,
hafla ya uzinduzi huo imefanyika katika ofisi za Airtel Moroko leo
0 comments:
Post a Comment