Rais Jakaya Kikwete akimjulia hali mwigizaji wa Kundi la Ze Original Comedy, Joseph Shamba a.k.a “Vengu”, ambaye amelazwa kwa wiki kadhaa sasa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Vengu mwenye umri wa miaka 28 amejizolea umaarufu kwa kuwaigiza wanasiasa hasa Mrema na ni moja wa waasisi wa kundi la ZeOriginal Comedy.
Rais Kikweteakimfariji mama wa Vengu Hospitalini hapo.
jamani so sad! Anasumbuliwa na nini jamani?
ReplyDeletekaka anaumwa nini. au ndo mambo yetu yaleeeee
ReplyDeletepolen sana bt tupo pamoja
ReplyDeleteMungu ni mwema wakati wote,tunazidi kumwamini ya kwamba atakwenda kumponya kwa wakati.
ReplyDeletepole vengu ila naamini Mungu yu pamoja nawe kikubwa ni maombi kwani kwake yeye hakuna linaloshindikana kwani kama Yesu Kristo alimfufua Lazaro aliyekuwa mfu ashindwe kwako wewe uliye hai? naamini na amini Mungu atakuponya.
ReplyDeleteJamani, mungu atakuponya vengu, utapona mungu ni mwema sana kwetu.Usikate tamaa be strong.
ReplyDeletepole kaka ndo life kuumwa ndo ubinadamu huo, tunakuombea
ReplyDeleteutapona vengu mungu yu pamoja nawe
ReplyDeletepole sana vengu kwa maumivu uyapatayo hapo.Mungu yu pamoja nawe.na tunazid kukuombea inshaallah upate nafuu na kupona kabisa.
ReplyDeleteUgua pole kijana!
ReplyDeleteVengu mwamini MUNGU utapona tambua kuwa sisi ni binadamu nasiyo chuma au jiwe ambalo haliwezi ugua.
ReplyDeleteMagonjwa kwa mwanadamu ni kawaida kumbuka AYUBU aliumwa kwa miaka mingi lakini kwa kumutegemea MUNGU alipona. MUOMBE MUNGU BILAKUCHOKA NASITUPO NYUMA YAKO TUNAKUOMBEA ILI UPONE KWASABABU TUMEKUMBUKA UCHEKESHAJI WAKO. MUNGU AKULINDE NA AKUPONYE Amyn.
Pole Vengu,mungu atakuafu ndugu yangu mtumainie yeye.Hakika tunamiss uwepo wako kwenye "The OK"
ReplyDeletepole sana Vengu, utapona Mwenyezi Mungu atakuponya tu, we mtegemee nawe utaona.
ReplyDeletetunaomba update yake anaendeleaje?
ReplyDelete