Kundi la Watalii kutoka mataifa mbalimbali duniani wakiwa katika picha
tofauti jijini Arusha wakati wa Chakula cha Usiku kilichofanyika katika
Hoteli ya New
Arusha Hoteli jijini Arusha na Maofisa wa Wizara ya Afya na Ustawi wa
Jamii waliongozwa na Mratibu wa Taifa wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi
kipaumbele (Neglected Tropical Disease) Upendo Mwingira. Watalii hao
wamepanda Mlima Kilimanjaro na wanatarajia kushuka Julai 5, Mwaka huu.
Lengo la kupanda Mlima ni kuchangisha fedha kwa ajili ya kudhibiti
magonjwa hayo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment