Nafasi Ya Matangazo

July 03, 2014



Washiriki kutoka  Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini  (TPDC) wakiwa  katika picha ya pamoja na kikombe cha ushindi mara baada ya kuibuka washindi wa kwanza katika kundi la makampuni  ya mafuta na gesi katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam



Mtaalam kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Bw. Emmanuel Gilbert akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda hilo kwenye maonesho ya kimataifa ya Saba Saba yanayoendelea katika viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam




Mtaalam kutoka  Shirika la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC) Bi.  Edith Simtengu akipokea kikombe cha ushindi  kwa niaba ya washiriki wenzake


Posted by MROKI On Thursday, July 03, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo