Meneja wa Mawasiliano ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Emma Oriyo , akifurahia tuzo ya udhamini kwa upande wa vinjwaji katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa baada kuipokea kutoka kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi, Seif Alli Idd Dar es Salaam.Katikati ni Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalla Kigoda.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment