Waziri Mkuu Mizengo Pinda, (Kushoto), akipatiwa maelezo na
Mkurugenzi wa ukaguzi wa ndani, wa PSPF, Goddfrey Ngonyani, wakati
alipotembelea banda la mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya biashara ya
kimataifa ya Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mawasiliano, Mahusiano na
Masoko, Costantina Martin.
Msanii wa majigambo,
Mrisho Mpoto, a.k.a Mjomba, (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa
wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Ukaguzi wa ndani,
Goddfrey Ngonyani,watatu kushoto), Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi, Costantina
Martin, (Watatu kulia), kwenye banda la Mfuko huo kwenye maonyesho ya 38 ya
biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, Jumatano, Julai 2, 2014
Mkazi huyu wa jijini Dar es Salaam, akipatiwa huduma na
mtafiti mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Maagi Thomas, kwenye banda la
Mfuko huo lililoko kwenye jengo la wizara ya fedha kwenye viwanja vya Mwalimu
Nyerere kunakofanyika maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es
Salaam, Jumatano Julai 2, 2014
Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF,
Abdul Njaidi, (Kushoto), akizungumza na Waandishi wa habari kutoka Uingereza,
Oliver Moss(Katikati), na Carla de Campos, walipotembelea banda la PSPF kwenye
maonyesho ya 38 ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam, Jumatato Julai 2,
2014
0 comments:
Post a Comment