Nikifundishwa Kutumia Computer na mtoto wa
darasa la pili kutoka ktk Shule ya Msingi ya Chilangala ktk maadhimisho
ya Siku za Serikali za Mitaa
Mkuu wa Wilaya ya Newala, Christopher Magala akihutubia katika maadhimisho hayo ya wiki ya serikali za mitaa.
0 comments:
Post a Comment