Nafasi Ya Matangazo

May 14, 2014

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia wakati akifungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, wakati wa ufunguzi huo uliofanyika kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam, leo Mei 14, 2014. Kushoto ni Mwakilishi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi, Dkt. Jonathan Mbambo (katikati) ni Balozi wa Swewden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Akizungumza na Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Balozi Lennarth Hjelmaker,
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Akisalimiana na Mjumbe wa Bodi ya MUHAS Prof Mohamed Bakari, wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Kunduchi Beach kwa ajili ya ufungua rasmi Kongamano la pili la Wanasayansi na Mabingwa wa Tiba, jijini Dar es Salaam leo, Mei 14, 2014
 Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na washiri wa kongamano hilo.
Posted by MROKI On Wednesday, May 14, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo