Makamu
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Issa Said
Mohamed akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Miono, katika mkutano wa
kampeni, uliofanyika kijijini hapo.
Baadhi
ya wananchi wa kijiji cha Miono wakiitikia kauli mbiu ya Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (Chadema), ya "Peoples Power" wakati wa mkutano
wa kampeni uliofanyika katika kijiji cha Miono.
Kiongozi
Mkuu wa kimila wa Wamasai, Tikwa Moreto (kushoto), akiongozana na
mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (kulia) na Makamu Mwenyekiti wa
chama hicho taifa, Issa Saidi Mohamed walipokwenda nyumbani kwake kwa
ajili ya kuomba baraka zake.
Kiiongozi
wa kimila wa Wamasai, Tikwa Moreto (aliyeketi), akishiriki kumwombea
mgombea wa ubunge wa jimbo la Chalinze kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema), Mathayo Torongey (wa tatu kushoto), nyumbani kwa
kiongozi huyo kijiji cha Gumba, Kibaha Vijijini.
0 comments:
Post a Comment