Mwonekano wa nyumba kwa nyuma |
Shimo la choo |
Mwonekano wa mbele
Nyumba hii inauzwa kwa kiasi cha Tsh milioni 14.5
maelewano yapo ina vyumba vinne vya kisasa kikiwemo kimoja masta
,choo na bafu ya wageni stoo, sebure kubwa na sehemu ya kulia
chakula pia shimo la choo limechimbwa na kujengewa bado kufunikwa
ukubwa wa eneo urefu futi 50 na upana futi 19 kwa mawasiliano zaidi
tupigie 0754026299
|
iko maeneo gani elezea vizuri hujaona nyumba kama zinauzwa dar wanavyojielezea ninachokupongeza umeweka bei maana sisi watanzania kuweka bei hatunaga kitu ambacho ni mbaya mimi nataka nina milioni kumi cash ila nipe detail kimesajiliwa kipo wapi elezea mambo ya msingi na je kwanini unauza hivyo ni vitu vya msingi kujitangaza
ReplyDelete