Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2014

  Askari wa FFU mkoa wa Mara wakiwa wamelibeba jeneza lililohifadhi mwili wa Marehemu, John Gabriel Tupa leo baada ya kumuaga na kusafirishwa kwenda Kilosa Mkoani Morogoro kwa Mazishi yatakayo fanyika Jumamosi hii. 
 MJANE WA BABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALIKUWA MMOJA WA WAOMBOLEZAJI

Mwili ukiingizwa katika gari tayari kwa safari ya uwanja wa ndege.
Mmoja wa waombolezaji Thomas Nathan akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu.
Posted by MROKI On Thursday, March 27, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo