Kikao cha semina ya wajumbe wa Bunge maalum la Katiba
kilichokuwa kiendelee leo saa nne asubuhi baada ya Mwenyekiti wake wa
Muda Mhe. Pandu Amir Kificho Kuaarisha jana mchana sasa kitaendelea leo
tarehe 8 machi 2014 saa tisa alasiri. Hii ni kutokana a kamati ya
maridhiano inayopitia vifungu ilivyokuwa inafanyia kazi kuomba mda
zaidi.Hivyo wajumbe wote wa Bunge maalum wanaombwa kufika Bungeni
kuendelea na semina hiyo saa tisa alasiri badala ya saa nnne asubuhi.
Imetolewa na Katibu wa Baraza la wawakiliashi na Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
0 comments:
Post a Comment