Meneja
Uhusiano wa Airtel Tanzania, Jackson Mmbando akiongea na waandishi wa
habari (hawapo pichani) wakati wa makabidhiano ya hundi kwa Mshindi wa Promosheni ya
Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind
Jacob (kushoto). Pembeni ni Meneja Masoko wa Airtel , Upendo Nkini.
Meneja Masoko wa Airtel, Upendo Nkini (kushoto) akikabidhi hundi kwa Mshindi wa Promosheni ya Mimi ni Bingwa, aliyejishindia Shilingi Milioni 50, Bw. Kagombo Rashind Jacob (kushoto). Pembeni ni kushoto ni rafiki wa mshindi huyo Antidius Diocresi.
0 comments:
Post a Comment