Nafasi Ya Matangazo

March 17, 2014

Mh Freeman Mbowe akimjulia hali na kumsikiliza Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili akiwa Hospitali ya Mkoa wa Iringa, ambapo mbunge huyo alimwelezea kiongozi huyo namna alivyotekwa, kuteswa na watu aliodai kuwa ni vijana wa kikosi cha ulinzi cha Chama Ch Mapinduzi (CCM), Green Guard.
Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe akisikiliza maelezo kutoka kwa Mbunge wa Kawe (CHADEMA), Halima Mdee, namna ambavyo Mbunge Rose Kamili alikuwa akiendelea kupata matibabu katika hospitali hiyo.

Mwenyekiti Mh Freeman Mbowe akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio la kutekwa na kuteswa kwa Mbunge wa Viti Maalum, Rose Kamili lililotokea juzi usiku katika Kijiji cha Kitawaya, Kaa ya Luhota, jimboni Kalenga, wakati alipokuwa akizungumza na mawakala wa CHADEMA, ambapo imedaiwa kitendo hicho kilifanywa na vijana wa ulinzi wa CCM.
Mgombea akiwa kituo cha kupigia kura.
Mgombea wa CHADEMA, Grace Tendega Mvanda akiwa na Kampeni Meneja wake, Godbless Lema walipokuwa wakizunguka katika ameneo mbalimbali kuangalia shughuli ya upiogaji kura vituoni ilivyokuwa ikiendelea jana.

Mgombea akiwa na Meneja wake mitaani
Posted by MROKI On Monday, March 17, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo