Wanafunzi wakigawiwa vipeperushi vyenye maelezo ya
virutubishi kutoka kwa waendesha kampeni wa mradi wa Usaid Tuboreshe Chakula
katika kampeni inayoendelea wilayani Manyara
Wanafunzi wa shule wakipata burudani ya mafunzo ya lishe kutoka waelimishaji kutoka
mradi wa Tuboreshe Chakula unaoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe Chakula
wilayani Babati
Afisa utawala wa Wilaya ya Babati Bwana Mshamu akiongea na
wadau kutoka sekta mbalimbali wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kuongeza
virutubishi kwenye chakula inayoendeshwa na mradi wa USAID Tuboreshe Chakula
Mwelimishaji wa
masuala ya lishe kutoka mradi wa USAID Tuboreshe Sara Luzangi, akiongea na wanafunzi
wa shule za msingi wilayani Babati mkoani Manyara, juu ya umuhimu wa matumizi
ya vyakula vilivyowekwa virutubishi katika kampeni za kutoa elimu hiyo
zinazoendelea katika wilaya mbalimbali za hapa nchini
Mkuu wa wilaya ya Babati Khalid Mandia ,akifungua kampeni ya
kuongeza virutubishi kwenye chakula inayoendeshwa na mradi wa tuboreshe chakula
unaofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Marekani(USAID) kulia kwakeni Katibu Tawala wa wilayaya
Babati Bwana Bwana Mshamu na kushoto ni mganga mkuu wa wilaya hiyo Antipasi
Swai.Uzinduzi umefanyika leo katika
ukumbi wa hotel ya White Rose mjini BABATI.
0 comments:
Post a Comment