Nafasi Ya Matangazo

February 28, 2014

Baadhi ya wafanyakazi wa gazeti la HABARILEO, ambalo linachapishwa na Serikali kupitia Kampuni yake ya Tanzania Standard Printa iliyo chini ya Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) wakiwa katika picha ya pamoja na Aliyekuwa Mhariri Mkuu wa gazeti hilo, Joseph Kulangwa ambaye ameacha kazi rasmi leo Februari 28, 2014 na kuhamia Kampuni ya Uhuru Publications inayomilikiwa na Chama cha Mapinduzi. TSN ni wachapaji wa magazeti ya DAILY NEWS, SUNDAYNEWS, HABARILEO, HABARILEO JUMAPILI NA SPOTILEO.
Posted by MROKI On Friday, February 28, 2014 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo