Makamu
Mwenyekiti wa CCM,Phillip Mangula akisalimiana na Mbunge wa Viti
Maalum, Dk. Mary Mwanjelwa baada ya kuwasili leo asubuhi kwenye Ofisi za
CCM Mkoa wa Mbeya , tayari akwa maadhimisho ya miaka 37 ya CCM
yatakayofanyika kitaifa kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sokoine, jijini
Mbeya Jumapili Februari 2. Kushoto ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa
CCM, Nape Nnauye.
Mangula
(katikati) akiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
(kulia) pamoja na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati) akizungumza na Nape (kulia)
pamoja na Zambi kwenye chumba cha watu mashuhuri (VIP) alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Mbeya leo mchana, ttayari
kwa maadhimidho hayo.
Nape (kulia) akizungumza na Kinana pamoja na Zambi kwenye Uwanja wa Ndege wa Songwe
Dk.
Mary Mwanjelwa (kushoto) akijadiliana jambo na Makmu Mwenyekiti wa
Jumuiya ya Wazazi, Dogo Idd Mabrouk wakati wa mapokezi hayo.
0 comments:
Post a Comment