Nafasi Ya Matangazo

October 03, 2013

 Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Montage Tanzania,  Teddy  Mapunda  wa tatu kutoka (kulia) akimkabidhi  mpira Mwanafunzi wa  kidato cha kwanza  wa Shule ya  Sekondari ya  wasichana  ya  WAMA  - Nakayama iliyopo Rufiji, mkoani Pwani  Rehema  Mshama(kulia)  ikiwa ni mchango wake katika kuwasaidia watoto yatima  na  wanaoishi katika mazingira  hatarishi  ili  waweze kujiendeleza katika sekta ya michezo. Makabidhiano hayo yalifanyika leo  kwenye ofisi ya Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), jijini Dares Salaam.
 Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Montage Tanzania, Teddy  Mapunda  wa nne kutoka (kushoto ) akimkabidhi  mpira  Mwalimu wa   Michezo wa  Shule ya Sekondari ya WAMA-  Nakayama iliyopo Rufiji, Mbwana  R. Mbwana  wa tatu kutoka (kulia) ikiwa ni mchango wake katika  kuwasaidia watoto  yatima  na  wanaoishi katika mazingira  hatarishi  ili waweze kujiendeleza  katika sekta ya michezo. Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye ofisi ya Taasisi ya Wanawake na  Maendeleo (WAMA), jijini Dares Salaam.
 Katibu Mtendaji  wa  Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA)  Daudi  Nasib (kushoto) akitoa shukrani   kuhusu vifaa   vya michezo  baada ya Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Montage Tanzania, Teddy  Mapunda
Mwalimu wa   Michezo wa  Shule ya Sekondari ya Wama   Nakayama iliyopo Rufiji, Mbwana  R. Mbwana   wa tatu kutoka (kulia)  na wanafunzi wa shule hiyo  wakifurahia  vifaa vya michezo  baada    wa  Mkurugenzi  Mtendaji  wa Kampuni ya Montage Tanzania, Teddy  Mapunda   kutoa  mchango  huo  ili  kuwasaidia watoto yatima  na  wanaoishi katika mazingira  hatarishi katika sekta ya michezo. Makabidhiano hayo yalifanyika leo kwenye ofisi ya Taasisi ya  Wanawake na Maendeleo (WAMA), jijini Dares Salaam.
Posted by MROKI On Thursday, October 03, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo