Nafasi Ya Matangazo

October 03, 2013

Licha ya Jiji la Dar es Salaam kwa sasa kukua kwa kasi kufuatia ujenzi wa majengo mengi mapya ya ghorofa katika jiji hilo lakini magorofa hayo yanapoteza umaridadi wa kulipendezesha jiji kwa mambo kama haya. Wahusika wa Majengo hayo ni vyema wakatafuta njia mbadala ya kutenga maeneo ya kuanikia nguo ili kuondoa hali hii.
Posted by MROKI On Thursday, October 03, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo