Nafasi Ya Matangazo

October 17, 2013

Waombolezaji wakipita kuaga mwili wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro marehemu Anthery Mushi wakati wa ibada fupi ya kuaga mwili wake iliyofanyika hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.
Sehemu ya waombolezaji wakisikiliza kwa makini wasifu wa aliyekuwa mzazi mwenzake mwandishi wa habari wa ITV/Radio One, Ufoo Saro, marehemu Anthery Mushi, muda mfupi kabla ya kuagwa mwili wake katika Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam leo. Marehemu Anthery alisafirishwa kuelekea Uru, Moshi kwa maziko yanaotarajiwa kufanyika kesho. 

HAKIKISHA KESHO HUKOSI TOLEO LA HABARILEO AMBALO LITAKUWA NA MAKALA MAALUM YA ANTHERY MUSHI.
Posted by MROKI On Thursday, October 17, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo