Jenerali David Musuguli Mkuu wa Majeshi Mstaafu akisalimiana na Nimrod Mkono Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa Itikadi Siasa na Uenezi CCM.
Mwalimu Peter Simon wa shule ya Sekondari ya Nata wilayani Serengeti akielezea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana jinsi wanavyowafundisha wanafunzi wake somo la sayansi wakati alipotembelea maabara ya shule hiyo.katikati ni mwanafunzi wa kidato cha nne Silvesta Joseph
mwanafunzi wa kidato cha nne Silvesta Joseph akitoa maelezo mbele ya Katibu Mkuu wa CCM kuhusu wanafunzi hao wanavyojifunza jinsi ya kutengeneza sabuni katika maabara hiyo
PICHA ZAIDI BOFYA----FULLSHANGWE BLOG
0 comments:
Post a Comment