|
Diwani
wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni,
Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya
kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia
Bakari kushoto na Asha Bani kwa ajili ya kupeleaka kwa watoto yatima
katika vituo mbalimbali Misaada mingine ilitolewa na Naibu Waziri wa
Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba,Mmiliki wa Maduka ya Silva
Botique, Madam Nora, Katibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa
kiislam Sheikh Khamisi Mataka, na Mkurugenzi wa Kampuni ya QUALITY
Printers And Stationers Amani Sokko . |
|
Diwani
wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni,
Aisha Sururu kushoto akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya
kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia
Bakari kushoto na Asha Bani kwa ajili ya kupeleaka kwa watoto yatima
katika vituo mbalimbali Misaada mingine ilitolewa na Naibu Waziri wa
Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba,Mmiliki wa Maduka ya Silva
Botique, Madam Nora, Katibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa
kiislam Sheikh Khamisi Mataka, na Mkurugenzi wa Kampuni ya QUALITY
Printers And Stationers Amani Sokko |
|
|
Wanachama
wa kikundi cha Habari Group Rabia Bakari kulia na Asha Bani wakiangalia
baadhi ya vyakula na vitu mbalimbali walivyokabidhiwa kwa ajili ya
kwenda kugawa kwa watoto yatima |
|
Diwani
wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fondition,
Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya
kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia
Bakari kushoto na Asha Bani kwa ajili ya kupeleaka kwa watoto yatima
katika vituo mbalimbali Misaada mingine ilitolewa na Naibu Waziri wa
Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba,Mmiliki wa Maduka ya Silva
Botique, Madam Nora, Katibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa
kiislam Sheikh Khamisi Mataka, na Mkurugenzi wa Kampuni ya QUALITY
Printers And Stationers Amani Sokko. |
|
|
Wanachama wa Habari Group wakia katika picha ya pamoja na na mwenyekiti mtendaji wa Aisha Sururu fondition bi, Aisha Sururu |
|
Moja ya kituo cha kilichopewa misaada na Habari Group Leo |
Mwanachama
wa Kikundi cha Habari Group Asha Bani kulia akikabidhi sehemu ya
msaada walioutoa kwa Katibu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha
Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha Buguruni Bw. Abubakari
Simba Dar es salaam leo
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha
habari Group wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wanaolelewa
katika Kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Hidaya Orphans Center and
Tahfidhil-qur-an cha Buguruni baada ya kutoa misaada mbalimbali leo
Mwanachama wa Kikundi cha Habari Group Asha Bani kulia
akikabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Katibu wa Kituo cha kulelea
watoto yatima cha Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha
Buguruni Bw. Abubakari Simba Dar es salaam leo
|
Mwanachama wa Kikundi cha Habari Group
Asha Bani kulia
akikabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Msimamizi Mkuu wa kituo cha
kulelea watoto yatima cha Al Furqan Islamic Center cha Chanika Bw,Hamisi
Omari Dar es salaam leo Picha na
www.burudan.blogspot.com
|
|
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha habari Group wakiwa
katika picha ya pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika kituo cha kulelea watoto yatima cha Al Furqan Islamic Center cha Chanika baada ya kutoa misaada mbalimbali leo |
0 comments:
Post a Comment