Nafasi Ya Matangazo

August 04, 2013

Mkuu wa Idara ya Uendeshaji wa Shughuli za Kibenki wa Twiga Bancorp Limited, Richard Kombole (kulia), akijadili jambo na wafanyakazi wengine wa Benki hiyo waliopo katika Banda la Maonesho ya Nane Nane Viwanja vya Nzuguni Mjini Dodoma. Kushoto ni Afisa Masoko wa Benki hiyo, Adalbert Alchard Tibikunda na Ally Amanzi. 

Twiga Bancorp ambayo ni benki inayomilikiwa na serikali kwa 100% ipo katika maonesho hayo ikishirikiana na Kampuni ya Sunnrgy Systems Limited ambayo ni wauzaji na wasambazaji wa pump za maji zinazotumia miaonzi ya jua ‘Solar Energy’ ambapo mkulima anaweza patiwa mkopo na Twiga Bank na kununua mashine hizo kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji.

Afisa Masoko wa Benki ya Twiga, Adalbert Alchard Tibikunda(kushoto) akihudumia wananchi walio tembelea banda lao.
 Mfanyakazi wa Kampuni ya Sunnrgy Systems Limited ambayo ni wauzaji na wasambazaji wa pump za maji zinazotumia miaonzi ya jua ‘Solar Energy’ akitoa maelezo mbalimbali juu ya vifaa vyao na namna ambavyo mkulima au vikundi vya wakulima vinaweza kufaidika kupitia Benki ya Twiga.

 Wananchi wakiangalia pump ya maji inayotumia nguvu za jua.
Mkuu wa Utawala na utafiti wa Kampuni ya Sunnrgy Systems Limited, Kanali Mstaafu.Aloyce Laizer ambayo ni wauzaji na wasambazaji wa pump za maji zinazotumia miaonzi ya jua ‘Solar Energy’ akitoa maelezo mbalimbali juu ya vifaa vyao na namna ambavyo mkulima au vikundi vya wakulima vinaweza kufaidika kupitia Benki ya Twiga.

 Afisa Masoko wa Benki ya Twiga, Adalbert Alchard Tibikunda(kushoto) akihudumia wananchi walio tembelea banda lao.

Mfanyakazi wa Kampuni ya Sunnrgy Systems Limited ambayo ni wauzaji na wasambazaji wa pump za maji zinazotumia miaonzi ya jua ‘Solar Energy’ akitoa maelezo mbalimbali juu ya vifaa vyao na namna ambavyo mkulima au vikundi vya wakulima vinaweza kufaidika kupitia Benki ya Twiga.
Posted by MROKI On Sunday, August 04, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo