Nafasi Ya Matangazo

August 03, 2013

Waziri wa Kilimo Chakula na Ushirika, Mhandisi Christopher  Chiza (kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mmoja wa Wakulima wa mbogamboga waliopo chini ya Wilaya ya Chamwino katika Viwanja vya Nzuguni, Dodoma jana juu namna ya uhudumiaji wa shamba la nyanya linavyotakiwa kuhudumiwa ili kuml;etea faida mkulima.

Mbuzi hawa huzaa mapacha kati ya 3-4 kila uzao.




Baadhi ya wakazi wa mji wa Dodoma na vitongoji vyake wakiwa katika banda la Maonesho la Wizara ya Mali asili na Utalii kujionea Kobe Mkubwa zaidi. Kobe huyo yupo Viwanja nya Nzuguni Maonesho ya Kilimo Nane nane kitaifa yanayofanyika mjini Dodoma.
 Twiga Bancorp Limited nao wapo na Wajasiriamali banda hili
Wadau Innocent Mungu kutoka TCRA, akiwa na Mdau, Titus  Kaguo wa EWURA.



Mhandisi Mwandamizi wa Upimaji Magari kutoka Wakala wa Barabara (Tanroad), Mhandisi. Joseph Rwihura akitoa maelekezo kwa wanafunzi wa Shule ya Sokandari Nzuguguni mjini Dodom jana wakati wa maonesho ya nane nane inyoendelea mjini Dodoma katika viwanja vya Nzuguni, Dodoma
Posted by MROKI On Saturday, August 03, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo