Nafasi Ya Matangazo

August 03, 2013

 Mkuu wa Wilaya ya Newala mkoani Mtwara, Christopher Magala (kulia kwa Waziri) akimpa maelezo juu ya Mashine za kusukuma maji zilizopo katika chanzo cha maji cha Mitema - Mkunya , Waziri wa Maji, Prof. Jumanne Maghembe wakati alipofanya ziara ya kukagua miradi ya maji Wilayani humo hivi karibuni.


 Waziri akitembezwa katika matanki ya kuhifadhia maji.
 Ziara iliendelea
Akiagana na viongozi mbalimbali wilayani baada ya kumaliza ziara.
Posted by MROKI On Saturday, August 03, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo