Nafasi Ya Matangazo

July 10, 2013

 Chezea Jeshi wewe... hakuna cha wigi wala nywele ya nam,na gani kichwani hwa ni kuruta wa Jeshi la Kujenga Taifa wakiwa vichwa wazi wakati wa kula kiapo cha Utii kwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Uslama, Rais Jakaya Kikwete. JKT leo imefikia kilele cha maadhimisho yake ya miaka 50 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo mwaka 1967 mwezi Julai pakiwa na Askari  wa kwanza waliopatiwa mafunzo kutoka Israel. 
Rais Jakaya Kiwete akiwa katika picha ya pamoja na askari wa kwanza wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), Brigedia Jenerali (Mstaafu), Dismas Msilu (kulia) pamoja na Zainab Kiango.  Walijiunga na JKT mwezi July 1967 Mgulani chini ya wakufunzi kutoka Izrael.

 Amiri Jeshi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete akikagua gwaride maalum la kuruta wa JKT wakati wa kilele cha maadhimisho ya miaka 50 ya JKT uwanja wa taifa Dar es Salaam hii leo.
 Kuruta wa JKT wakiwa na mitambo mipya kabisa wakati wa gwaride maalum la miaka 50 ya JKT.

 waliungana na viongozi wote kupokea heshima
 Jukwaa kuu likipokea heshima kutoka kwa askari kuruta wa JKT.
 Heshima kwa Rais hapo ni mwendo wa kasi.
 Hili linaotwa zoezi la Kunyakua
 Vijana wa JKT wakifuatilia maonesho ya maadhimisho ya miaka 50 ya JKT
 Katika maadhimisho ya miaka 50 JKT kupitia Shirika lake la SUMA limeanzisha kampuni ya Ulinzi inayokwenda kwa jina la SUMA JKT GUARD LTD na hivi ndivyo watakavyokuwa wakionekana askari hao.
 Miongoni mwa huduma za JKT ni pamoja na Mahoteli na kumbi za starehe kama Bar na kumbi za sherehe mbalimbali haya ni maonesho ya moja ya huduma hizo.
JKT akina mama hujishughulisha na ujasiriamali na hapa ni katika maonesho hayo.
Posted by MROKI On Wednesday, July 10, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo