Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji Safi na
Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), Jackson Midala na Afisa
Mahusiano wa kampuni ya simu za mikononi ya Airtel ,Jane Matinde wakionesha
kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) mita mpya za malipo ya maji kadri
unavyotumia (LUKU) ambazo wateja wa shirika hilo watafungiwa. Mita hizo
zimezinduliwa jana Jijini Dar es Salaam ambapo wateja wa Dawasco pia wanaweza
kulipia kupitia AirtelMoney.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji Safi na
Majitaka jijini Dar es Salaam (DAWASCO), Jackson Midala akionesha kwa waandishi
wa habari(hawapo pichani) mita mpya za malipo ya maji kadri unavyotumia (LUKU)
ambazo wateja wa shirika hilo watafungiwa. Mita hizo zimezinduliwa jana Jijini
Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment