Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Dk. Mohammed Hashim 9kulia) akimshukuru Mkuu wa Mko wa Pwani, Mwantumu Mahiza kufungua mkutano wa wadau wa mkoa huo wa kujadili uhamasishaji wananchi kujiunga na mfuko huo, leo mjini Kibaha. Katikati ni Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Baadhi ya wadau wakiwa katika mkutano huo
Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Emmanuel Humba akielezea mikakati mbalimbali ya kuboresha mfuko huo nchini
| Mbunge wa Kibiti, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wabunge Mkoa wa Pwani, Abdul Marombwa akitoa shukrani kwa mgeni rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Pwani kwa hotuba yake pamoja na ujio wa NHIF mkoani humo. |
| Baadhi ya wakuu wa wilaya za Mkoa wa Pwani, wakiwa katika mkutano huo. Kutoka kulia ni, Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo,Ahmed Kipozi na Mkuu wa Wilaya ya Rufiji, Nurdin Babu |
| Baadhi ya watendaji wa wilaya za mkoa wa Pwani wakiwa katika mkutano huo. |
| Baadhi ya wadau wakihudhuria mkutano huo. |
Mmoja wa wadau wa mkutano huo akihudumiwa na maofisa wa NHIF
Viongozi wa NHIF, CHF wakiwa pamoja na wadau kwenye mkutano huo
Ofisa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NHIF, Grace Kisinga (kulia) akiratibu mkutano huo. Kutoka kushoto ni Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee na Mratibu wa NHIF Mkoa wa Pwani, Andrew Mwilungu.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NHIF, Eugen Mikongoti, akifafanua jambo wakati wa mkutano huo




0 comments:
Post a Comment