Dr. Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays
Dr. Yasin akiongoza mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi.
Dr. Asha Rose Migiro Kushoto Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB, Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TTB Baozi Charles Sanga na Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays
Bendi ya polisi ikiongoza matembezi hayo
Matembezi yakiendelea
Yalipitia katika mitaa mbalimbali ya Oysterbay jijini Dar es salaam na kuishia Golden Tulip
Yakielekea kumalizika rasmi
Ikawa ni kupasha mwili baada ya kumalizika kwa matembezi hayo
Mmoja wa walemavu alishiriki bega kwa bega katika matembezi hayo hapa akiwa anafanya mazoezi.


0 comments:
Post a Comment