Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2013

Wakiwa na nyuso za furaha na bashasha tele moyoni ni maharusi wapya kwa mwaka 2013, James Mnubi na mkewe kipenzi Enid Dikson waliofunga pingu za maisha na kuwa mwili mmoja Mbele za bwana, katika Kanisa la Aglikana Ubungo jijini Dar es Salaam, Januari 5, 2013. Baadaye ndoa hiyo ilifuatiwa na tafrija ya kukata nba Shoka katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam kwa maharusi na wageni wao kupongezana kwa kula na kunywa huku wakiserebuka kwa mziki wa aina mbalimbali.
 Photo: MD Digital Company +255 755 373999/ +255 717 002303.
James Mnubi na mkewe kipenzi Enid Dikson wakiwa na wasimamizi wa ndoa yao wakipozi kwaajili ya picha.
Posted by MROKI On Tuesday, January 08, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo