Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2013

Ilikuwa ni hoi hoi nderemo na vifijo kati ya Bwana Andrew Mlay na Bibi Agustina Mbuya wakati walipofunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Makuburi jijini Dar es Salaam, Januari 5, 2013. Na kufauatiwa na chakula cha jioni kilichoandaliwa na Maharusi hao kwaajili ya wageni wao katika Ukumbi wa New River Side uliopo Ubungo jijini Dar es Salaam. Photo: MD Digital Company +255 755 373999/ +255 717 002303.
Posted by MROKI On Tuesday, January 08, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo