Nafasi Ya Matangazo

January 08, 2013

Hata na sisi tunastahili soda...Ngedere huyu aliyepo katika hifadhi ya wanyama ya  Dar es Salaam maeneo ya Kigamboni, alinaswa na camera ya Father Kidevu blog, akishushia kinywaji chake alicho pewa na wageni walio mtembelea na kufurahia ugeni huo. Chupa hiyo aliifungua mwenyewe na kuanza kunywa huku akijilamba kwa utamu wake.
Posted by MROKI On Tuesday, January 08, 2013 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo