Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza(katikati),
akisisitiza jambo katika kikao hicho cha uongozi wa KNCU. Pia waziri
aliomba KNCU ikubali kuendelea kupokea wanaushirika toka maeneo mengine
nchini,na nje ya nchi, wanaopenda kujifunza zaidi kuhusu mbinu KNCU
inazotumia, inachokifanya kuwa chama kikuu kikongwe Afrika, chenye
takribani miaka 80 tangu kuuanzishwa kwake. Kulia ni Mwenyekiti wa
Bodi Bw.Maynard Swai, na kushoto ni mkuu wa wilaya ya Moshi, Dkt.Ibrahim
Msengi.
Bw.Maynard Swai (kulia)akimkabidhi zawadi, kwa niaba ya KNCU moja ya wasaidizi wa Mh.Waziri.
Bw.Maynard
Swai, akiwasilisha hotuba kwa Mh.Waziri, juu ya shuhuli za KNCU ikiwamo
mradi wa Afya unaoendeshwa na chama hiki, ambao ni mahususi kwa
wakulima ambao ni wanachama wa KNCU.
Wafanyakazi
wa KNCU (1984)Ltd, pamoja na wajumbe wa bodi ya KNCU Bw.Martin Malya
(mwenyemiwani) na Bw.Silayo(wa pili kulia),wakifuatilia jambo katika
mkutano huo.
Wafanyakazi wa KNCU (1984) Ltd, wakila chakula cha pamoja na Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Coffee Tree Hotel.
Waziri
wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mh. Christopha Chiza(kulia)
akikaribishwa na Mwkt wa KNCU Maynard Swai (kushoto), pamoja na mkuu wa
Wilaya ya Moshi(katikati) Dkt.Ibrahim Msengi, katika hoteli ya KNCU ya
Coffee Tree Hotel, mjini Moshi, tarehe 30 Nov. 2012
0 comments:
Post a Comment