
Washiriki
wa shindano la Miss East Afrika 2012 wakiwa katika picha ya pamoja
mapema leo mchana walipotembelea kampuni ya Clouds Media Group,Mikocheni
jijini Dar.

Mfanyakazi wa Prime Time Promotions Ltd,Godliver Nicholaus akiwapa jarida la Kitangoma linalochapishwa na kampuni hiyo,Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

Mkurugenzi wa Utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akiwaelekeza jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

Mkurugenzi
wa Utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akiwaelekeza
jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea
ndani ya studio za Clouds TV.

Mkurugenzi
wa Utafiti wa Clouds Media Group,Ruge Mutahaba akiwaelekeza
jambo Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012 walipotembelea
chumba cha wahariri wa Clouds TV.

Mmoja wa wahariri wa Clouds TV,Anatoli Kabez akisalimia na Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.

Mkuu wa Vipindi wa Clouds FM,Sebastian Maganga akifafanua jambo kwa Washiriki wa shindano la Miss East Afrika 2012.walipotembelea studio za Clouds FM.
0 comments:
Post a Comment