Wakiwa na Nyuso za furaha ni Bwana
Harusi Denis Mgeni na Mkewe Haika Masue
wakifuatilia kwa umakini matukuo mbalimbali wakati wa Tafrija yao ya Ndoa takatifu
walioyo ifunga Desemba 29, 2012 katika
Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Augustino iliyopo Mzumbe Mkoani Morogoro na
baade katika kufuatiwa na tafrija ya kipekee katika Ukumbi wa Maofisa wa Jeshi
Magadu mkoani Morogoro.
Maharusi Denis na Haika wakivishana pete
zao za ndoa katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Augustino Mzumbe.
Maharusi wakionesha vidole vyao vilivyo vaa pete za ndoa 'GPRS'
Bwana Harusi Denis Mgeni akiweka saini
katika shahada ya ndoa huku akishuhudiwa na Mkewe.
Maharusi Denis Mgeni na Mkewe Haika Masue wakiwa wamebeba Sakramenti ya Ndoa wakielekea Madhabahuni mara baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki Parokia ya Mt. Augustino iliyopo Mzumbe Mkoani Morogoro. Harusi hiyo ya aina yake ilifungwa Desemba 29/12/2012 Kanisani hapo na baade kufuatiwa na tafrija ya kipekee katika Ukumbi wa Maofisa wa Jeshi Magadu mkoani hapa.
Meza Kuu ya Familia ya Mzee Mgeni wakiwa ukumbini.
Meza ya Wazazi wa Bi Harusi, Familia ya Masue wakiwa katika tafrija hiyo.
Maharusi wakikata keki
Denis na mkewe wakilishana keki mbele ya kadamnasi
Bi Harusi akigonganisha glass za mvinyo na wageni mbalimbal
Bwana harusi akingonisha glass na ndugu jamaa na marafiki
Wageni mbalimbali waalikwa wakiwa katika tafrija hiyo.
Huu ulikuwa wakati muafaka wa kuwapongeza maharusi kwa zawadi mbalimbali na ku mkono wa pongezi.
Wazazi wa Bwana Harusi
Maharusi wakigonga msosi
Hawa ni vijana mbalimbali kutoka Mzumbe ambao waliwakilisha vilivyo kundi la 'Home Sweet Home - Kimzumbe Mzumbe' kutoka ukurasa wa marafiki wa Facebook.
Kamati nzima ya maandalizi ya Harusi ya Denis na Haika ikiwa katika picha ya Pamoja na maharusi. Ndoa hii ilisimamiwa na Bwana na Bibi Aloyce Ngonyani.
0 comments:
Post a Comment