Mwandishi wa Habari wa gazeti la Tanzania
Daima,Charles Ndagula akiwa amelazwa kwa ajili ya matibabu kwenye hospitali ya
St Joseph iliyopo Mjini Moshi baada ya kunusurika kuuawa kwa kugongwa na watu
wanaosadikiwa kuwa ni wafayabiashara wa kusfirisha sukari ya magendo kwa njia
za panya kwenda nchini Kenya, Picha na Rodrick Mushi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment