Mkurugezi
mkuu wa bodi ya bahati nasibu Tanzania Abasi Tarimba akiwa anasimamia
uteketezaji wa mashine za kuchezesha bahati nasibu amabazo zimeingizwa nchini
bila kufuata utaratibu ambazo zimeletwa na kufungwa maeneo ya ostabay zikitokea
nchini urusi ambapo nchi ya urusi imepiga marufuku mchezo wa bahati nasibu
mashine hizo zilikuwa 80 zenye thamani ya shilingi milioni 300 za kitanzania
picha na chris mfinanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment