Nafasi Ya Matangazo

October 18, 2012

 Mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2012 Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma (kushoto) akiwa na zawadi baada ya kuibuka mshindi wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula, 2012. Katikati ni mshindi wa pili kutoka mkoani Kagera Bi. Emiliana Eligaesha, kulia ni Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba.
 Washindi watatu bora kwenye mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012 kwenye picha ya pamoja na Naibu Waziri Mawasiliano Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi ya mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
 Mwakilishi Mkazi waShirika la Kimataifa Oxfam Bi. Monica Gorman akimpongeza mshindi wa kwanza wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Sista Martha Mwasu kutoka mkoani Dodoma wakati wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi ya mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
 Mkuu wa Masoko na Mawasiliano Bw. Imani Kajula akiwapongeza washiriki wa Mama Shujaa wa Chakula 2012 wa hafla ya kutoa zawadi kwa washindi ya mashindano ya Mama Shujaa wa Chakula 2012.
Washiriki wa Mashindano ya Mama wa Shujaa wa Chakula 2012 wakiwa zawadi walizokabidhiwa na Benki ya NMB baada ya shindano hilo
Posted by MROKI On Thursday, October 18, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo