Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua ujenzi wa jengo la ubalozi wa
Tanzania nchini Oman jana.Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa kimataifa Bernard Membe,watatu kushoto ni Balozi wa
Tanzania nchini Oman,bwana Ali Ahmed Saleh, wane kulia aliyeshika karai
ni ofisa mwandamizi ubalozi wa Tanzania nchini Oman Bwana Abdallah
Kilima na kulia anayeshuhudia ni ofisa katika ubalozi wa Tanzania oman
Bwana Saidi Mussa
October 18, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




0 comments:
Post a Comment