Nafasi Ya Matangazo

October 16, 2012

 Mwanamuziki Abdul Salvador “Father Key Devu” akicharaza gitaa la solo wakati akitumbuiza leo katika Mgahawa wa City Sport Lounge uliopo katikati ya jiji la Dar es Salaam. Salvador kwa sasa anaimbia Bendi yake inayoitwa HISIA BAND. Mwanamuziki huyo mkongwe ambaye anaweza kutumia vyombo vya aina mbalimbali vya music anatumbuiza katika mgahawa huo wa City Sport Lounge kila siku ya Jumatatu na Alhamis kuanzia saa 11 jioni.
 Abdul Salvador “Father Key Devu”na Mroki Mroki “Father Kidevu” wakiwa katika picha ya pamoja walipokutana leo kwa mara ya kwanza katika mgahawa wa City Sport Lounge.
Father Kidevu akishow love katika picha. Salvador alinipa rasmi hati miliki ya jina hilo la Father Kidevu.
Posted by MROKI On Tuesday, October 16, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo