Nafasi Ya Matangazo

October 16, 2012

Oktoba 7, 2012 ilikuwa ni simu maalum yaBiharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula kukabidhiwa jiko na kupewa mawaidha ya hapa na pale kutoka kwa akina mama juu ya namna ya kutunza jiko na nyumba yake kwa ujumla. Siku hii ilikuwa ni ya Kitchen Party.
 Biharusi Mtarajiwa Fadhila Kikula akiwa katika picha ya pamoja na Mpambe wake ambayepia ni mdopgowake Sheila Kikula muda mfupi kabla ya kufundwa huko Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam.
Fadhila akiwa katika picha ya pamoja na mama zake.
 Keki ilikuwa hivi..
 Ilikuwa ni shangwe
Mama wadogo wakizungumza neno.

Wageni mbalimbali waalikwa walikuwepo.
 Photos: MD Digital Company 0717003/0755373999
Posted by MROKI On Tuesday, October 16, 2012 1 comment

1 comment:

  1. Hongera bi harus hongera ma harusi. Umeweza Mungu akufanyieni wepes INSHAALAH

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo