Bw. Albert Mwambafu na mke wake wakiweka shada la Maua kwenye kaburi na mtoto wao mpendwa Marehemu Giveln Albert Mwambafu aliyefariki juzi baada ya kuugua ghafla na kupoteza maisha, Marehemu Givelin amezikwa jana kwenye makaburi ya Mbezi Tangi Bovu mara baada ya ibada ya mazishi iliyofanyika kwenye kanisa la KKKT Usharika wa Mbezi Tangi Bovu jijini Dar es salaam, Tunawapa pole wafiwa na mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha kupotelewa na mtoto wenu mpendwa marehemu Giveln.
"MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU GIVELIN MAHALI PEMA PEPONI AMEN"
Jeneza la Marehemu Giveln likiwa tayari kwa mazishi mara baada ya kufika makabu.
Mwili wa Marehemu Giveln ukiingizwa kanisani tayari kwa ibada ya mazishi.
0 comments:
Post a Comment