Nafasi Ya Matangazo

October 31, 2012

 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT linalosimamiwa na Evans Bukuku, Raymond akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mshereheshaji Taji Liundi akiongoza jahazi ndani Commedy live ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mchekeshaji machachali wa kundi la Vuvuzela, DOGO PEPE akiwavunja mbavu wageni waliojitokeza katika onyesho lao.
 
 Ilikuwa ni furaha na vicheko kila mahali maana DOGO PEPE alikuja kivingine ka kuwaacha watu hoi.
 DOGO PEPE akiwa katika pozi.
 Mbunifu wa mavazi Gabriel Mollel aliwakilisha pia na rafiki yake.
 Kila mmoja akionyesha uso wa furaha.
 Mambo ya Live kwenye kideo nayo yaliongozwa na Adamu Gile
 Furahaaaaaaaaa...
 Nyomi iliyohudhuria onyesho hilo.
 Mshereheshaji Taji Liundi akiongea na mmoja ya wageni waliohudhiria.
 Furaha ziliendelea kutawala.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akiimba na dada yake ENIKA.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku, akiwaangalia vijana wake wakifanya makeke yao.
 Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akimgawia zawadi ya wine mmoja wa wageni walioonyesha umahili wako katika kuchekesha.
...Huyu mwanadada alikuwa ni machachali sana katika kuchekesha, akiongea mara baada ya kupokea zawadi yake wa wine. Picha zote na Cathbert Angelo wa Kajunason Blog.
Posted by MROKI On Wednesday, October 31, 2012 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo